Barua ya mwisho ya mwanafunzi wa chuo kikuu cha Chuka kwa mpenziwe, kabla kujiua

-Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Chuka alijitia kitanzi baada ya kumpata mpenziwe akifanya tendo la ndoa na mwanamme mwengine -Jarida la TUKO.co.ke lilifanikiwa kuipata barua hiyo, na haya hapa maneno yake halisi

-Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu cha Chuka alijitia kitanzi baada ya kumpata mpenziwe akifanya tendo la ndoa na mwanamme mwengine

-Jarida la TUKO.co.ke lilifanikiwa kuipata barua hiyo, na haya hapa maneno yake halisi

Kwa Stella Njeri Kagendo,

Ulikuwa rafiki, mtu niliyemuamini na zaidi ya yote ulikuwa mpenzi wangu.

Nilikupenda hadi nilipokupata na mwanamme mwengine.

Habari Nyingine:Unamjua vyema mwakilishi wa kike wa Murang’a Sabina Chege?

Nilikupa moyo wangu, ….. hata nikakupa maisha yangu

Msongo wa moyo waniua nikizikumbuka nyakati tulipokuwa pamoja. Tulicheza pamoja kama watoto na bado nakumbuka jinsi hukuwa na talanta kwa michezo hiyo. Nilikupenda kwayo.

Habari Nyingine:Kipusa afurushwa na babake baada ya kufika nyumbani kutoka chuoni akiwa na chupi, ni mtindo

Wewe ni malkia wangu ama ulikuwa, maana nimefariki. Siku zote nitakutunza kwa mapenzi, heshima na kwa hamasa. Tulivyokumbatiana, kubusiana, tendo la ndoa, hata tuna akaunti ya benki pamoja. Heko maana sasa ni yako binafsi.

Habari Nyingine:Unamjua mkewe Miguna Miguna? Haya ndio maisha yake ya ndoa

Nilijua kuwa singekukosea nilipokuwa hai wala kupigana na jamaa huyo. Pengine angeniibia ama kuhatarisha maisha yako ningemkata shingo kwa wepesi.

Hebu fikiria, nilikunyoa nyeti ili waume wengine waifurahia. Inasikitisha.

Ahadi tano zilizokupa:

1.Nitakupenda milele

2. Sitakuwa na mwanadada mwengine

Habari Nyingine:Nilikuwa wa kwanza 'kumuonja' Diamond na aliahidi kunioa - Asema mpenzi wa zamani wa Diamond

3. Sitakudanganya

4. Muhimu zaidi, nitafuata unalosema

5. SIWEZI KUISHI BILA WEWE

Read ENGLISH VERSION

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke

Subscribe to watch new videos

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdibH11gphmmZqqpZZ6uq2Mpq6iq5ikerqtjKaumqaRm8Kvxshmrpplk53CsHnKoqKurV2YtaJ5wqGspJldoMSiecypnKeymayybrfAm6OaZZuqt6rBwGefraWc

 Share!