Poleni timu mafisi: Mtangazaji tajika wa NTV Loise Wangui aolewa

-Ripota wa habari za biashara Loise Wangui Wanjira alifunga pingu za maisha katika sherehe za kitamaduni mjini Nakuru -Wawili hao walichukua kiapo za ndoa katika sherehe ya kufana mbele ya familia zao

-Ripota wa habari za biashara Loise Wangui Wanjira alifunga pingu za maisha katika sherehe za kitamaduni mjini Nakuru

-Wawili hao walichukua kiapo za ndoa katika sherehe ya kufana mbele ya familia zao

Jarida la TUKO.co.ke limeangazia sherehe hiyo kwa kukuletea baadhi ya picha ili upate taswira kamili ya jinsi sherehe zilivyonoga.

Habari Nyingine:Hawa ndio mawaziri 5 ambao hawatafutwa kazi Uhuru atakapochagua baraza mpya la mawaziri

Ripota tajika wa runinga ya NTV Loise Wangui ambaye pia ni mama wa mtoto 1 hatimaye ‘ametoka sokoni’.

Wangui alifunga pingu za maisha na mpenziwe katika sherehe za kitamaduni Jumanne, Disemba katika mji wa Nakuru.

Habari Nyingine:Pasta wangu hanisalimii kwa sababu nilimkataa- binti wa Machakos

Sherehe hizi zilinoga huku rangi za pinki na nyeupe zikitwaa kila kona ya eneo hilo.

Jarida la TUKO.co.ke lilizama na kuzuka na picha za kuvutia za sherehe hiyo ili kukupa taswira kamili ya jinsi mambo yalivyokwenda katika sherehe hizo.

Habari Nyingine:Mudavadi atacheza ngoma ya Urais 2022 bila kupingwa - ANC

Ni dhahiri kwamba sasa mafisi watakwenda mawindoni kwingine maana hapa hapana nafasi tena.

Read ENGLISH VERSION

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe?Tuma ujumbe kwa mhariri:mwangi.muraguri@tuko.co.ke

Chanzo: TUKO.co.ke

ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdia311hJRmp6iklaO2bsDIpqxmpZGbtrS1jKarmqaXlseitshmq5qimaCubsPAZqWtrl2hvKq%2FxGaumqaXqrZurc6lnLCZXp3Brrg%3D

 Share!